Nani mwenye kosa?
Mpigaji simu: ndi ndi ndi
Mpoeaji simu: Helow! habari?
Mpigaji: Nzuri, nani tafadhari?
Mpokeaji: Unaniuliza nani, wewe si ndo umepiga simu?
Mpigaji: Ndio, ila si uniambie jina ndugu!
Mpokeaji: Unawezaje kumpigia mtu usiyemjua?
Mpigaji: Mi nimepewa namba nikupigie. Tunatoa huduma ya Solar za jua.
Mpokeaji: Sasa kama mnatoa huduma. Mimi inanisaidia nini?
Mpigaji: Nimeambiwa, najaribu kuona kama unahitaji. Tukuletee ulipo.
Mpokeaji: Sihitaji. Akakata simu nti!.
Mpigaji: Helo Helo Helo!...........
Umegundua nini kwenye hii conversation katika ya mpigaji na mpokeaji?
Nani mwenye kosa kati ya hao wawili?
Je, ni kweli Mpokeaji hakuwa na huhitaji wa solar?
Share nasi hapa hapa.
Naomba usiache kufuatilia makala inayofuata. Maana itakuwa inaonyesha masahihisho ya simu inavyopaswa kupigwa kama ni Mteja usiye fahamiana naye.
Lackius Robert 0767702659
#mwangazaacademy2023
No comments:
Post a Comment