Ndugu Karibu katika mwendelezo wa masomo yetu yanayolenga kukuongea maarifa zaidi,leo tunaenda kuangalia hadithi ya muigizaji wa movie ya TITANIC.
Ukianguka Mara 7 mara ya 8 amka uendelee na safari.Huo ni msemo uliojitokeza kwa muigizaji maarufu duniani Leonard Di Caprio ambaye aliigiza movies maarufu kama vile Titanic,Aviator,Blood Diamond. Kwa mara ya kwanza aliandika historia kama best male actor, kabla ya hapo aliwahi kuchaguliwa kuingia kwenye kinyanganyilo cha best male actor zaidi ya mara tano tangu 1994 lakini alikuja kufanikiwa kupata tuzo hiyo mwaka 2016 baada ya miaka 22 kupita.
Wakati wote alikuwa anasubira ya kuwa siku moja atakuja kuipata tuzo hiyo na ilipofika watazamaji walidhani kitu cha kwaida lakini haikuwa hivyo kwake ilikuwa ni heshima kubwa.Alichoka kushiriki na wenzake katika kinyanganyilo hicho.Lakini siku ilifika akaweza kupata tuzo hiyo aliyoifukuzuia kwa miaka zaidi ya 22.
Tafakari ndugu yangu mapendwa na uweze kuchukua ahtua juu ya amisha yako.
Makala hii imeandaliwa na Lackius Robert tuwasiliane zaidi 0767702659 karibu mungu akubariki zaidi.
No comments:
Post a Comment