MORNING MOTIVATION DIARY
Hivi ndivyo migogoro ya familia inavyoleta athari katika sehemu za kazi.
Ndugu,
Karibu katika siku nyingine tena katika program ya morning motivation diary yenye lengo la kuing'alisha siku yako.
Ni wazi kwamba kila mfanyakazi anatokea kwenye familia,Yaani anatoka nyumbani anaenda kazini hivyo nyumbani kukiwa na amani pia kazini patakuwa na amani.
Chunguza mifano hii katika familia kama uchumi umeyumba mmoja wapo labda mwanaume akauza kitu au Mali bila kutoa taarifa kwa mkewe pindi kile kitu au mali ikija kuchukuliwa mwanamke atokuwa na amani na mgogoro utaanza ,pindi akienda kazini atakama anafanya kazi baadae atakuwa na mawazo maana nyumbani mambo apako sawa.
Mmojawapo amezaa nje ya ndoa hali itakayoanzishwa hapo ni balaa kelele zitakuwa nyingi sana hadi kufikia hatua ya kupigana katika kupigana kwa bahati mbaya mmoja akiumia kinachofuata ni kwenda hospitali kitu kinachopelekea kutoudhulia kazini sababu ni malumbano na mapigano.
Talaka wawili walikuwa wanapendana pindi wanapotalakiana inachachukua siku zisizopungua angalau 14 ili kuona umeanza kupata unafuu kidogo wa mawazo pia na kuzoea hio hali ,kipindi chote hicho kinakuwa kinaathili utendaji wa kazi maana mfanyakazi anakuwa yupo kazini kama hayupo (presenteeism) badala ya kufanya kazi anawaza namna ya kurejesha furaha au amani kwenye moyo wake.
Nikumbushe tena mfanya kazi anatoka kwenye familia hivyo ni wachache wanaoweza kuhimili hekaheka hizo.Familia ikiyumba kazini pia panayumba maana kuna uhusiano mkubwa kati ya familia na kazini .
Kama una maoni au ushauri kuhusu makala hizi naomba unijulishe. Wish you all the best let's meet on the next discussion.
"Ushindi upo mikononi mwako kwa kuwa umebarikiwa"
Kupata makala zilizopita bonyeza hapa
https://www.instagram.com/p/B0kJTHfFJNt/?igshid=17zwddxlmeig5

No comments:
Post a Comment