MORNING MOTIVATION DIARY
Vichocheo vya migogoro:
Ndugu,
Inawezakana katika sehemu ya kazi migogoro isiwepo lakini ni nadra sana kutoka na asili ya migogoro.
Tunasema migogoro ni "HISIA ZILIZOLALA" ukiziamsha zinaamka.
Karibu tuangalie vichocheo vya migogoro:
Migogoro binafsi
Wapo wafanyakazi wengine huruhusu migogoro yao binafsi, ambayo haihusiani ,kuharibu kazi zao.Labda Unakuta mfanyakazi Fulani na fulani wana mgogoro wa kinafsia ambao unahamishwa kwa wafanyakazi wengine na kusababisha kutoelewana. Akitokea mtu anataka kuwakosoa au kuwashauri waache hiyo migongano wanakataa kuongea naye. Na wakiongea wanaongea kwa ukali na matusi hali hiyo inachochea mno usambaaji wa Mgogoro katika sehemu za kazi .Migogoro hio mara nyingi hutokana na wivu wa maendeleo yaani mtu fulani hataki fulani afanikiwe,Akiona ana maendeleo fulani nafsi inamuuma, kama ni mfanyakazi mwenzie anaanza chokochoko ndogo ndogo baadae mgongano kamili.
Kutomsikiliza mtu (Not hearing not listening).Watafiti wanasema watu wengi wamekuwa wakichochea migogoro bila kujua ,kutokana na kutotoa nafasi ya mtu kujielezea.
Kusheria tunasema kila mtu ana haki ya kusikilizwa" right to be heard" ambayo inampa mtu uhuru kujielezea. Wakati mwingine mtu amechelewa kazini au nyumbani kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ila akifika unamfokea uku ukimwambia maneno makali na magumu.Akitoka hapo anaona thamani yake aieshimiwi mgogoro tayali unakuwa katika hatamu.
Nakusihi usikose makala ijayo ,wish you all the best.
"Ushindi upo mikononi mwako kwa kuwa umebarikiwa"
Unaweza kuwasiliana na mimi 0767702659
Au katika page yangu Instagram Lackius Robert.
Karibu

No comments:
Post a Comment