MORNING MOTIVATION DIARY
Jinsi kazi(Workplace conflict) inavyoathiri falimia.
Ndugu,
Kama ilivyo kwenye familia kwamba familia ikiyumba na kazini panayumba pia.
Ndivyo ilivyo kazini na kwenye familia pia panayumba:
Karibu tuone jinsi kazi inavyoleta migogoro katika familia:
Kama mshahara ni mdogo (Insufficient wage),Mfanyakazi anafanya kazi ili apate kipato cha kuisaidia familia kama kipato ni kidogo,alafu anafanya masaa mengi kwa long working hours.Hali hii usababisha migogoro kwa sababu familia itashindwa kumuelewa muhusika kwa kutotoa baadhi ya mahitaji.
Mikutano isiyotarajiwa(unexpected meeting) mfano muda wa kazi unaisha hivi pa! Unaambiwa kuna kikao mnakaa kwa muda kadhaa.Hivyo nyumbani ukitoa taarifa unaambiwa umeanza njia ya pembeni kelele zinaanza mkishindwa kuelewana mapigano kususiana.
Safari nyingi extensive travel hizi pia husababisha mgogoro kwa sababu mmoja wapo anaweza hisi kuna namna fulani.Katika kazi kama ni mwanaume unaweza hisiwa kuwa na nyumba ndogo mkishindwa kuelewana mgogoro tayali unaanza.
Pia vyote hivi husababisha kukosa muda mzuri kwa mazazi kuzungumza na watoto, mzazi anaondoka usiku anarudi usiku wikend anaudhulia vikao hali inayopelekea watoto kutopata malezi bora kutoka kwa wazazi wote.
Wish you all the best let's meet on the next discussion.
"Ushindi upo mikononi mwako kwa kuwa umebarikiwa".
Unaweza kuwasiliana na Mimi 0767702659
Au ukatembelea page yangu ya Instagram lackius Robert
Karibu.

No comments:
Post a Comment