MORNINGS MOTIVATION DIARY
Ili mti uzae vizuri mizizi inahitaji ukomavu na maji.
Ndugu,
Karibu katika siku nyigine tena ambapo tunakuatana katika program ya morning motivation diary ,yenye lengo kubwa la kukuongezea maarifa na kuing'alisha asubuhi yako.
Katika maisha yetu ya kila siku ili kuwa na ufanisi mzuri katika shughuli tunazofanya tunahitaji kuwa na ukomavu mzuri.Ukomavu unaoendana na maarifa ya kutosha katika kile tunachofanya.
Ukiangalia fishing law inasema "kamwe huwezi kupata samaki wakubwa katika sehemu yenye kina kifupi" .Hivyo basi ili tuwe na ukomavu mzuri katika shughuli tunazofanya na kutimiza malengo yetu .Lazima tupanue mawazo na kuanza kuwa na ndoto kubwa.
Maana Ukiwaza kidogo utapata kidogo,
Ukiwaza kikubwa utapata kikubwa maana mwili,akili,fikra zako zote zinawaza kikubwa na hautachoka.Lakini ukiwaza kidogo ndivyo mwili utakavyolegea maana kitu kidogo mara nyingi ni cha muda mfupi.
Mti mdogo mizizi yake hata umwage maji mengi kiasi gani haiwezi kwenda mbali sana lakini mti mkubwa mizizi yake husambaa na kwenda mbali zaidi.
Usisubili upewe kila kitu ndo ufanye jambo,Imwagilie akili yako kwa kuendelea kujifunza kitu kipya kila siku.
Anza na kidogo vingine vitakukuta njiani.Usiwe na mawazo kama ya mtu anayesema kama napewa maziwa kila siku yanini kufuga Ng'ombe'''.Anaamini siku zote ataendelea kupewa ,anashindwa kuwaza yajayo anawazia yaliyopo na yanayoonekana mbele yake.
Wish you all the best.
" Ushindi upo mikononi mwako kwa kuwa umebarikiwa ".
Nikukaribishe ili uzidi kujifunza zaidi na zaidi pia tembelea page yangu ya Instagram jina lackius Robert.Karibu

No comments:
Post a Comment