MORNING MOTIVATION DIARY
Mambo usiyoyajua Kuhusu ujasriamali,
Ndugu,
Karibu katika siku nyingine tena katika mwendelezo unaoelezea mambo usiyoyajua kuhusu ujasriamali,
Karibu:
Ujasiriamali ndiyo njia yenye hatari ndogo kwenye kipato.
Kuna watu wameambiwa na kuaminishwa kwamba ujasiriamali ni hatari sana kwenye upataji wa kipato. Kwamba unapokuwa mjasriamali unakuwa huna huakika wa kupata kipato asa pale unapokuwa na uhitaji wa fedha na usiweze kuzipata kwa haraka.Badala yake wameaminishwa kwamba ajira ndiyo njia ya uhakika na yenye hatari ndogo kwenye upande wa kipato. Kwakuwa kila mwezi mtu anakuwa na uhakika wa kupokea mshahara wake na hivyo ni kitu anachoweza kukitegemea.Kwa mjasriamali anayechukua tahadhari (take risk ) kwake siyo tatizo kubwa maana anakuwa amejipanga in case lolote likitokea.
Hali hii imekuwa kikwazo kwa wengi kufanikiwa kwenye ujasiriamali kwa sababu wanaingia wakiwa wnajua kwamba, kuingiza kipato siyo ni jambo ambalo kidogo siyo haraka.
Nikukumbushe ndugu yangu mpendwa katika kazi yoyote ile unayoifanya lolote linaweza kutokea kama uko katika ujasriamali unaweza kuyumba kifedha na kwa aliye kwenye ajira anaweza kusimamishwa kwa hiyo wote wanakuwa kwenye wakati mgumu kifedha.Ila utafiti unaonesha ujasriamali una hatari kidogo kulinganisha na kazi nyingine yoyote kwa mtu aliye makini.
Ujasiriamali ni asili yetu binadamu,
Watu wamekuwa wanaamini kwamba kuna watu ambao wamezaliwa kuwa wajasiriamali na wengine wamezaliwa kuwa waajiriwa pekee.Hali hii imewafanya wengi kushindwa kwenye ujasiriamali, wakiamini kwamba wao sio wajasriamali.
Lakini ukweli ni kwamba ujasiriamali ni asili yetu kama binadamu, kila mtu ana ujasiriamali ndani yake. Ukiangalia historia ya maisha ya wanadamu hapa duniani, kwa kipindi kirefu tumekuwa tunaendesha maisha yetu kupitia shughuli za kiujasiriamali
Wazee waliotutangulia waliweza kwa kujiusisha na shughuli za kijasiriamali ili kupata mahitaji yao makubwa ambayo mara nyingi yalikuwa ni chakula, mavazi, malazi na usalama.
Kila mmoja anaweza kuwa mjasriamali, Kama nilivyotangulia kuandika somo lililopita kuwa ujasriamali ni asili yetu hivyo ni wazi kwamba kila mtu anaweza kuwa mjasriamali.Kwa kuwa ujasriamali auchagui rangi ,kabila au jinsia au kusema mpaka uwe na elimu kubwa sana.Ujasriamali unategemea kwa jinsi gani ulivyojiandaa na kuingia kwenye shughuli.
Nikukumbushe ndugu yangu mpendwa,Usiingie kwenye mradi wowote au biashara kwa kufuata mkumbo kisa umeona fulani kafanya jipange kwanza ili ukianza umeanza.Jiambie Mimi ni mshindi usikubali kurudi nyuma wala kuyumbishwa na mtu mwingine,Wish you all the best.
"Ushindi upo mikononi mwako kwa kuwa umebarikiwa".
Kwa mawasiliano zaidi 0767702659 Lackius Robert karibu.

No comments:
Post a Comment