Thursday, January 17, 2019

KWANINI MIMI (WHY ME) PART 2


Ni matumaini yangu kwamba uhu mzima wa afya na unaendelea vizuri  na kazi za ujenzi wa taifa,nakuomba usisahau kumshukuru mwenyezi mungu kwa zawadi ya uhai anayozidi kutupatia

Karibu katika blog hii ya Daraja la mfanikio uzidi kupata maarifa fulani fulani pengine ushawahi kusikia au ndo mara ya kwanza.

Karibu katika sehemu ya pili KWANINI MIMI (why me)  kumbuka aliye na kwanini anaweza kuyafikia mafanikio kwa kuyakamilisha malengo yake.
Kwa sababu kila kitu anachofanya anajiuliza kwanini nafanya hivi? na nikifanya hivi majibu yake yatakuwa yapi au nini kitatokea endapo nikifanya hivi.

Naomba ujaribu kufanya majaribio kidogo kwa kujiuliza kwanini mimi,sio muda wa kuanza kulalamika kwamba haujafanikiwa bado muda unao maana naamini kama nguvu ,akili na uwezo unavyo yote yanawezekana.Katika sehemu ya kwanza nilisema Mungu anayo makusudi makubwa sana nawewe na kamwe hawezi kukutupa.

Chagua eneo sahihi kufanya na ufanye kwa bidii utaiona maana ya kwa nini yako pia sababu ya uwepo wako hapa ulimwenguni utaikamilisha .Ebu jiulize mpaka sasa hivi kitu gani ambacho utakumbukwa kuwa ulikifanya hapa ulimwenguni kama bado zungumza na moyo wako.

Nakusihi uendelee kuifatria Blog hii kazaaa!!!
''Compete and learn'' 












No comments:

Post a Comment