MORNING MOTIVATION DIARY
Tafakari:
Kwani mafanikio yanafananaje?.
Ndugu,
Karibu katika siku nyingine tena ambapo tunakuatana katika program yetu pendwa ya morning motivation diary ,yenye lengo kubwa la kukuongezea maarifa na kuing'alisha siku yako.
Kulikuwa na watu watatu Jr,Jk na Jn ambao walikutana katika kijiwe kimoja wakawa wanapiga stori mdogomdogo.Jn akauliza kuna mtu mmoja nilimsikia akisema sema kuhusu mafanikio lakini sikumuelewa.Ndipo wakaanza kuijadili mada hiyo,
Jr akasema Mimi nafikiri mtu mwenyewe mafanikio ni mtu anayejali wengine kutoka na shida walizonazo hivyo hupata baraka /dhawabu kwa kujitoa kwake kuwasaidia.Kuna shehe mmoja anajitoa sana kuwasaidia watu wengine hivyo ana mafanikio mengi sana pale mtaani kwetu.
Jk akasema mh! Hapana mi nafikiri mtu mwenye mafanikio ni mtu mwenye malengo,asiyekata tamaa,anayeongeza juhudi katika kutenda yale anayopenda pia na kubuni njia nyingine za kumuondolea utegemezi.Kuna mkaka mmoja mtaani kwetu namwonaga sana anavyojituma sana waga anaamka asubuhi anaenda kwenye kazi zake na kurudi jioni.
Jn,akasema mh! Mnanipoteza nyote hamjui ,mtu mwenye mafanikio ni mtu anayetokea katika familia bora ambayo Baba na Mama wanakazi nzuri ,nyumba,magari n.k hivyo mtoto anapewa na wazazi kila kitu anachohitaji na baadae anakuwa na mafanikio makubwa hasahasa kifedha.Maana mtaani kwetu nawaona ona watu wa namna hii.
Ndugu yangu mpendwa, Hakuna aliyekuwa anamsikiliza mwenzake anachoongea badala yao kila mmoja alitaka kuonekana yeye ndio mwenye mawazo sahihi .
Vivyo hivyo kwenye maisha yetu na kazi wapo watu wa namna hii wanaokalia kile tu wanachojua hawataki kupata kitu kipya.
CHONDE CHONDE "" Tabia usipoiacha itakung'ang'ania"".
,Wish you all the best.
"Ushindi upo mikononi mwako kwa kuwa umebarikiwa".
Kwa mawasiliano zaidi 0767702659 Lackius Robert
Karibu.

No comments:
Post a Comment