Baada ya kumaliza utangulizi ,sehemu ya kwanza.
Karibu sasa katika sehemu ya pili Somo la kwanza:
SEHEMU YA PILI SOMO LA KWANZA: MATAJIRI HAWAFANYII KAZI PESA.
Siku moja nilimuuliza Baba tajiri je nawezaje kuwa tajiri?, Baba alishika karatasi na kalamu akainama uku akijikuna kichwa chake baadae akanijibu ,akisema mwanangu kwa nini unataka kuwa tajiri?. Nikasema mimi na Mike hatujashiriki sherehe ya rafiki yetu maeneo ya ufukweni sababu ya kutotuita ni kuwa sisi ni watoto maskini.Baba tajili akasema “ukitaka kuwa tajiri jifunze namna ya kutengeneza fedha’’.
Kipindi hicho nilikuwa nina miaka 9 ndipo urafiki na Mike ulianza tukaanza kufikiria namna ya kutengeneza fedha, lakini nakumbuka baba alisema ukihitaji kitu fulani kifanyie kazi.Tulifanya kazi mbali mbali ikiwemo kuuza tooth paste tube lakini hatukufanikiwa kufika mbali ,ila kwa sababu baba tajiri alisema ukitaka kitu fulani lazima ufanye kazi ,niliutaka utajiri hivyo ilinibidi nijifunze jinsi ya kutengeneza fedha nikawa nafanya kazi masaa ya ziada matatu kwa baba tajiri na alikuwa ananilipa kiasi kidogo cha fedha.Wakati mwingine nilikuwa ninafanya na rafiki yangu Mike kazi zingine.Lakini sikuwahi kumwambiwa Baba masikini ambaye ni baba yangu mzazi kuwa nafanya kazi sehemu yoyote.
Nakumbuka Baba tajiri aliniambia sababu kubwa kwanini matajiri ni matajiri sio kwa sababu ya tamaa bali wana woga wa kupoteza fedha na kuwa maskini.Hivyo hutumia njia mbalimbali za kuhakikisha wanafahamu zaidi kuhusu fedha ili wazidi kuwa nazo zaidi na zaidi ukilinganisha na watu maskini.Pia anasema nimekuwa nakutana na watu katika sehemu tofauti wakisema ‘’sipendelei sana pesa ‘’ lakini watu hao hao wanafanya kazi masaa nane kwa siku ,je kama hawapendelei pesa kwanini washinde wakifanya kazi masaa yote hayo?.Ukweli ni kuwa hisia ndizo zinazotufanya kuwa binadamu mfano mtu anaposema anatafuta kazi tayali hisia zake na fikra zinakuwa zinafikiria kazi akisema ninataka niwe tajiri hisia zake zitafikilia jinsi ya kuwa tajiri na akiaanza atafanikiwa.Mara nyingi wazazi wengi wamekuwa wakiandaa watoto wao katika mazingira ya kusoma kwa bidii kufaulu vizuri nakupata kazi kwa hali hiyo tayali hisia zao zote zinawaza hivo.Jamii zetu ni kweli zinahitaji madaktari wahasibu n.k lakini watu hawa wanapomaliza masomo yao wanafikiri shule imeishia hapo wanashindwa kujiedeleza kupata maarifa mengine hivyo wanakuwa hawana uelewa mzuri kifedha. Ndio maana wanaonekana kuwa na kazi nzuri kama Baba yangu maskini ana kazi nzuri lakini kutokana na kukosa maarifa ya fedha hujikuta ana mlundikano wa kodi nyingi.
Imeishia hapo.
Wewe ni wa thamani kubwa na kwa kuwa umeamua kujifunza ,tutajifunza pamoja.
Mungu akubariki.
Karibu sana tuwasiliane kupitia 0767702659 Lackius Robert kwa akili ya kupata uchambuzi wa vitabu vingine.